sw_jer_text_reg/48/36.txt

6 lines
640 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 36 Hivyo moyo wangu unamwombolezea Moabu kama zomari. Moyo wangu unaomboleza kama zomari kwa ajili ya watu wa Kir Heresi. Utajiri walioupata umetoweka. \v 37 Maana kila kichwa kina upaa na kila kidevu kimenyolewa. Chale zipo katika kila mkono, na nguo za magunia katika viuno vyao.
=======
\v 36 Hivyo moyo wangu unamwombolezea Moabu kama zumari. Moyo wangu unaomboleza kama zumari kwa ajili ya watu wa Kir Heresi. Utajiri walioupata umekwisha. \v 37 Maana kila kichwa kina upaa na kila kidevu kimenyolewa. Chale zipo katika kila mkono, na nguo za magunia katika viuno vyao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113