6 lines
544 B
Plaintext
6 lines
544 B
Plaintext
<<<<<<< HEAD
|
|
\v 6 Kimbieni! okoeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.
|
|
=======
|
|
\v 6 Kimbieni! Okoeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.
|
|
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
|