sw_jer_text_reg/46/27.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 Lakini wewe, Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitayari kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, nakuwa katika amani; na kuhifadhiwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope--asema Yahwe--kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu."
=======
\v 27 Lakini, wewe Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitakurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, tafuta amani, na kuwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope - asema Yahwe - kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113