sw_jer_text_reg/46/13.txt

6 lines
663 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikike katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi. Chukua kituo chako na jiweke imara, kwa maana upanga utakula wote kati yenu.
=======
\v 13 Hili ndilo neno Yahwe alilomwambia nabii Yeremia wakati Nebukadneza mfalme wa Babeli alipokuja na kushambulia nchi ya Misri: \v 14 Toa taarifa kwa Misri na isikiwe katika Migdoli na Memfisi. Wamesema katika Tapenesi, wekeni kituo na muwe imara, kwa maana upanga unakula wote kati yenu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113