sw_jer_text_reg/46/07.txt

6 lines
921 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Ni nani huyu ainukaye kama Nile, ambaoye maji yake yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nile, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Misri inasema, 'nitapanda juu na nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wakaao ndani yake. \v 9 Nyanyukeni, farasi. Iweni na hasira, enyi magari ya vita. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.
=======
\v 7 Ni nani hawa wainukao kama mto Nili, ambao maji yao yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nili, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Anasema, 'nitapanda juu; nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wake. \v 9 Inukeni, farasi. Mwe na hasira, ninyi vibandawazi. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113