sw_jer_text_reg/45/01.txt

6 lines
909 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Hili ni neno ambalo Yeremia nabii alimwambia Baruku mwana wa Neria. Hii ilitokea wakati alipoandika kwenye kitabu maneno haya kwa imla ya Yeremia - hii ilikuwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, na alisema, \v 2 "Yahwe, Mungu wa Israel, asema hivi kwako, Baruku: \v 3 Umesema, Ole mimi, kwa kuwa Yahwe ameongeza uchungu wa maumivu. Kuugua kwangu kumenichosha; sipati pumziko.'
=======
\c 45 \v 1 Hili ni neno ambalo Yeremia nabii alimwambia Baruku mwana wa Neria. Hii ilitokea wakati alipoandika kwenye kitabu maneno haya kwa imla ya Yeremia - hii ilikuwa katika mwaka wa nne wa Yehoyakimu mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, na alisema, \v 2 "Yahwe, Mungu wa Israel, asema hivi kwako, Baruku: \v 3 Umesema, Ole mimi, kwa kuwa Yahwe ameongeza uchungu kwa maumivu yangu. Kuugua kwangu kumenichosha; sipati pumziko.'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113