sw_jer_text_reg/44/22.txt

6 lines
898 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 22 Basi hawakuweza tena kuvumilia kwa sababu ya matendo yenu maovu, kwa sababu machukizo ambayo mlifanya. Basi nchi yenu imekuwa ukiwa, kutisha, na laana basi hapakuwa na mkazi tena hata siku hii. \v 23 Kwa sababu mlichoma ubani na kufanya dhambi dhidi ya Yahwe, na kwasababu msingesikiliza sauti yake, sheria yake, amri zake, au maagizo ya agano lake, maafa haya dhidi yenu yemetokea kama ilivyo kwa siku hii. "
=======
\v 22 Basi hawakuweza tena kuvumilia kwa sababu ya matendo yenu maovu, kwa sababu ya machukizo ambayo mlifanya. Basi nchi yenu imekuwa ukiwa, kutisha, na laana basi hapakuwa na mkazi tena kwa siku hii. \v 23 Kwa sababu mlichoma ubani na kufanya dhambi dhidi ya Yahwe, na kwa sababu msingesikiliza sauti yake, sheria yake, amri zake, au maagizo ya agano lake, maafa haya dhidi yenu yemetokea kama kwa siku hii. "
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113