sw_jer_text_reg/05/26.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 26 Kwa watu waovu wamo kati ya watu wangu. Wanatazama kama mtu anayenyatia ili kukamata ndege; wanaweka mitego na kukamata watu; \v 27 Kama tundu la mtego lijaavyo ndege, nyumba zao zimejaa uongo. Kwa hiyo wanakua na kutajirika. \v 28 Wamenenepa; wanang'aa na kupendeza. Wamepitiliza hata mipika ya maovu. Wala hawajali sababu ya kuwepo kwa watu na wala uwepo wa yatima. Wanafanikiwa hata kama hawatoi hukumu ya haki kwa yatima. \v 29 Kwa nini nisiwadhibu kwa sababu ya haya - asema BWANA - sitajilipizia kisasi juu ya taifa la namna hii?
=======
\v 26 Kwa kuwa watu waovu wamo kati ya watu wangu. Wanatazama kama mtu anayenyatia ili kukamata ndege; wanaweka mitego na kukamata watu; \v 27 Kama tundu la mtego lijaavyo ndege, nyumba zao zimejaa uongo. Kwa hiyo wanakua na kutajirika. \v 28 Wamenenepa; wanang'aa na kupendeza. Wamepitiliza hata mipaka ya maovu. Wala hawajali sababu ya kuwepo kwa watu na wala uwepo wa yatima. Wanafanikiwa hata kama hawatoi hukumu ya haki kwa yatima. \v 29 Kwa nini nisiwaadhibu kwa sababu ya haya - asema Bwana - sitajilipizia kisasi juu ya taifa la namna hii?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113