sw_jer_text_reg/50/21.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 21 Inuka dhidi ya nchi ya Merathaimu, kinyume chake nao waishio Pekodi. Wapigeni kwa makali ya upanga na mwatenge kwa ajili ya maangamizo - asema Yahwe - fanyeni kila ninachowaamru. \v 22 Sauti ya vita na maangamizi ya kustaajabisha yamo katika nchi.