sw_jer_text_reg/44/13.txt

1 line
391 B
Plaintext

\v 13 Kwa kuwa nitawaadhibu watu wanaikalia nchi ya Misri kama nilivyoadhibu Yerusalem kwa upanga, njaa, na pigo. \v 14 kiasi kwamba, kusiwepo mabaki yeyote ya Yuda ambao wameenda kuishi huko kwenye nchi ya Misri watatoroka au kunusurika au kurudi kwenye nchi ya Yuda, wanakotamani kurudi na kuishi; na hakuna mmoja kati yao atakaye rudi isipokuwa a wachache ambao walitoroka kutoka huko."