1 line
481 B
Plaintext
1 line
481 B
Plaintext
\v 20 Kwa kuwa mmejidanganya vibaya wenyewe wakati mliponituma mimi kwenda kwa BWANA Mungu wenu na kusema, 'Omba kwa BWANA Mungu wetu kwa ajili yetu. Lolote ambalo BWANA Mungu wetu asema, tuambie, na tutalibeba.' \v 21 Kwa kuwa nimekwisha toa taarifa kwenu leo, lakini hamjasikiliza sauti ya BWANA Mungu wenu au hususani kwa lolote ambalo alinituma mimi kwenu. \v 22 Basi sasa, mtajua kwa hakika kwamba mtakufa kwa upanga, njaa, na pigo katika eneo ambalo mlitamani kwenda kuishi." |