sw_jer_text_reg/30/01.txt

1 line
412 B
Plaintext

\v 1 Neno lilokuja kwa Yeremia kutoka kwa Yahwe likisema, \v 2 "Hivi ndivyo Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema, 'Jiandikie mwenyewe katika baraua maneno yote niliyotangaza kwako katika barua. \v 3 Maana ona, siku zinakuja—hili ni tangazo la Yahwe—nitakapowarudisha mateka wa watu wangu Israeli na Yuda. Mimi, Yahwe, nimesema hili. Kwa maana nitawarudisha kwenye nchi ambayo niliwapa babu zao, na wataimiliki."'