sw_jer_text_reg/23/37.txt

1 line
449 B
Plaintext

\v 37 Utamuuliza nabii hivi, 'Bwana alikujibu nini? Je, Bwana alisema nini? Kisha unasema tamko kutoka kwa Bwana; \v 38 lakini Bwana asema hivi, Sema hivi, "Hili ni tamko la Bwana" ingawa nimekuagiza na kusema, "Usiseme: Hili ni tamko kutoka kwa Bwana." \v 39 Kwa hiyo, angalia, nitawachukua na kukutupa mbali na mimi, pamoja na jiji ambalo nilikupa wewe na baba zako. \v 40 Ndipo nitaweka aibu ya milele na fedheha juu yenu ambayo haitasahauliwa.'"