sw_jer_text_reg/22/08.txt

1 line
251 B
Plaintext

\v 8 Kisha mataifa mengi yatapita kwenye mji huu. Kila mtu atamwambia yule anayefuata, "Mbona Bwana amefanya hivi kwa jiji hili kuu?" \v 9 Na mwingine atajibu, "Kwa sababu waliiacha agano la Bwana, Mungu wao, wakainama kwa miungu mingine, wakaiabudu."