sw_jer_text_reg/36/11.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 11 Basi Mikaya mwana wa Gemaria alisikia maneno yote ya Yahwe kwenye kitabu. \v 12 Alienda chini kwenye nyumba ya mfalme, kwenye chumba cha katibu. Tazama, maafisa wote walikuwa wamekaa hapo: Elishama mwandishi, Delaiah mwana wa Shemaiah, Elnathan mwana wa Akbori, Gemaria mwana wa Shefani, na Sedekia mwana wa Hananiah, na maafisa wote.