sw_jer_text_reg/31/12.txt

1 line
289 B
Plaintext

\v 12 Kisha watakuja na kufurahia katika vilele vya Sayuni. Nyuso zao zitamelemeta kwa sababu ya wema wa Yahwe, juu ya nafaka na divai mpya, juu ya mafuta na malimbuko ya kwanza ya makundi na ng'ombe. Kwa maana maisha yao yatakuwa kama bustani iliyomwagiliwa, na hatajisikilia huzuni tena.