sw_jer_text_reg/51/01.txt

1 line
262 B
Plaintext

\c 51 \v 1 Yahwe asema hivi: Tazama, ninakwenda kuleta upepo wa maangamizi dhidi ya Babeli na dhidi yao waishio ndani ya Leb Kamei. \v 2 Nitatuma wageni Babeli. Watamtawanya na wataifanya ukiwa nchi yake, maana watakuja kinyume chake kutoka pote siku ya madhara.