sw_jer_text_reg/48/42.txt

1 line
340 B
Plaintext

\v 42 Hivyo Moabu utaharibiwa kama watu, kwa kuwa walijivuna kinyume changu, Yahwe. \v 43 Hofu na shimo, na mtego vinakujia, watu wa Moabu - asema Yahwe. \v 44 Kila akimbiaye kwa sababu ya hofu ataanguka shimoni, na kila atokaye shimoni atanaswa na mtego, maana nitayaleta haya juu yao katika mwaka wa kisasi changu dhidi yao - asema Yahwe.