sw_jer_text_reg/39/06.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 6 Mfalme wa Babeli aliwachinja wana wa Sedekia mbele ya macho yake huko Ribla. Pia aliwachinja wanaume wote wa heshima wa Yuda. \v 7 Kisha aling'oa macho ya Sedekia na kumfunga minyororo ya shaba ili kusudi kumpeleka Babeli.