sw_jer_text_reg/35/18.txt

1 line
357 B
Plaintext

\v 18 Yeremia akasema kwa familia ya Warekabi, "Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli asema hivi: mmezisikiliza amri za Yonadabu babu yenu na kuzishika zote—mmeyatii yote aliyowaamuru kufanya— \v 19 kwa hiyo Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, 'Siku zote kutakuwa na mtu kutoka uzao wa Yonadabu mwana wa Rekabu kwa ajili ya kunitumikia."'