sw_jer_text_reg/35/01.txt

1 line
262 B
Plaintext

\c 35 \v 1 Neno kutoka kwa Yahwe likamjia Yeremia katika siku za Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, kusema, \v 2 "Nenda kwenye familia ya Warekabi na zungumza nao. Kisha uwalete kwenye nyumba yangu, mle ndani ya mojawapo ya vyumba, na uwape divai wanywe."