sw_jer_text_reg/31/35.txt

1 line
364 B
Plaintext

\v 35 Yahwe anasema hivi—Yahwe, yeye afanyaye jua kuangaza mchana na kuzipanga mwezi na nyota kuangaza usiku. Yeye ndiye aiwekaye bahari katika mwendo ili mawimbi yake yangurume. Yahwe Mungu wa majeshi katika jina lake. \v 36 "Ikiwa tu mambo haya yakudumu yakitoweka machoni pangu—hili ni agizo la Yahwe—uzao wa Israeli hawatasimama mbali nami wasiwe taifa."