sw_jer_text_reg/22/29.txt

1 line
285 B
Plaintext

\v 29 Ee Ardhi, Ardhi, Ardhi! Sikieni neno la Bwana! \v 30 Bwana asema hivi, 'Andika juu ya mtu huyu Konia Yeye hatakuwa na mtoto. Hatafanikiwa wakati wa siku zake, wala hakuna hata mmoja kati ya uzao wake atakayefanikiwa au kuketi tena kwenye kiti cha Daudi na kutawala juu ya Yuda.'"