sw_jer_text_reg/22/06.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 6 Kwa maana Bwana asema hivi juu ya nyumba ya mfalme wa Yuda, "Wewe uko kama Gileadi, au kama kilele cha Lebanoni kwangu. Hata hivyo nitakugeuza kuwa jangwa, katika miji isiyo na wenyeji. \v 7 Kwa kuwa nimewaagiza waharibifu kuja juu yenu! Watu wenye silaha zao watakata mierezi yako iliyo bora na kuiacha kuanguka kwenye moto.