sw_jer_text_reg/10/17.txt

1 line
227 B
Plaintext

\v 17 Kusanya vitu vyako na uiache nchi, wewe ambaye umekuwa ukiishi katika mazingiwa haya. \v 18 Kwa kuwa BWANA asema hivi, "Tazama, Ni tayari kuwatupa wakazi wa nchi nje wakati huu. Nitawasababishia huzuni, na itakuwa hivyo."