sw_jer_text_reg/11/06.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 6 Bwana akaniambia, "Hubiri habari hizi yote katika miji ya Yuda, na katika njia za Yerusalemu. Sema, "Sikilizeni maneno ya agano hili na mkayafanye. \v 7 Kwa maana nimewaagiza wazee wenu tangu siku ile niliyowaleta kutoka nchi ya Misri hadi wakati huu wa sasa, nimewaonya mara kwa mara na kusema, "Sikilizeni sauti yangu.'" \v 8 Lakini hawakusikiliza au wala kutega masikio yao. Kila mtu amekuwa akitembea katika ukaidi wa moyo wake mbaya. Kwa hiyo nilileta laana zote katika agano hili nililoamuru kuja juu yao. Lakini watu bado hawakuitii."
=======
\v 6 Bwana akaniambia, "Hubiri habari hizi zote katika miji ya Yuda, na katika njia za Yerusalemu. Sema, "Sikilizeni maneno ya agano hili na mkayafanye. \v 7 Kwa maana nimewaagiza wazee wenu tangu siku ile niliyowaleta kutoka nchi ya Misri hadi wakati huu wa sasa, nimewaonya mara kwa mara na kusema, "Sikilizeni sauti yangu.'" \v 8 Lakini hawakusikiliza au wala kutega masikio yao. Kila mtu amekuwa akitembea katika ukaidi wa moyo wake mbaya. Kwa hiyo nilileta laana zote katika agano hili nililoamuru kuja juu yao. Lakini watu bado hawakuitii."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113