sw_jer_text_reg/10/23.txt

6 lines
860 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 23 Ninajua, BWANA, kwamba njia ya mtu haiji kutoka kwake. Wala hakuna mtu atembeaye anayeongoza hatua zake mwenyewe. \v 24 Ee BWANA, unirudi, kwa hukumu za haki, si kwa hasira zako vinginevyo utaniangamiza. \v 25 Mwaga hasira zako kwa mataifa ambao hawakujui na katika familia ambazo hawakuiti kwa jina lako. Kwa kuwa wamemla Yakobo na kumwangamiza kabisa na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa.
=======
\v 23 Ninajua, Bwana, kwamba njia ya mtu haiji kutoka kwake. Wala hakuna mtu atembeaye anayeongoza hatua zake mwenyewe. \v 24 Ee Bwana, unirudi, kwa hukumu za haki, si kwa hasira zako vinginevyo utaniangamiza. \v 25 Mwaga hasira zako kwa mataifa ambao hawakujui na katika familia ambazo hawakuiti kwa jina lako. Kwa kuwa wamemla Yakobo na kumwangamiza kabisa na kuyafanya makao yake kuwa ukiwa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113