sw_jer_text_reg/10/21.txt

6 lines
618 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 21 Kwa kuwa wachungaji wamekuwa wapumbavu. Hawamtafuti BWANA. Kwa hiyo hawana mafanikio; Kondoo wao wote wamesambaa. \v 22 Taarifa imewadia, "Tazama! inakuja, tetemeko kubwa linakuja kutoka katika nchi ya kaskazini kuifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, na maficho ya mbweha.
=======
\v 21 Kwa kuwa wachungaji wamekuwa wapumbavu. Hawamtafuti Bwana; Kwa hiyo hawana mafanikio; Kondoo wao wote wamesambaa. \v 22 Taarifa imewadia, "Tazama! inakuja, tetemeko kubwa linakuja kutoka katika nchi ya kaskazini kuifanya miji ya Yuda kuwa ukiwa, na maficho ya mbweha.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113