sw_jer_text_reg/10/11.txt

6 lines
891 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Utawaambia hivi, "Miungu ambayo haikuumba mbingu na nchi itaangamia katika dunia hii na chini ya mbingu." \v 12 Aliyeiumba dunia kwa nguvu zake aliumba nchi kavu kwa hekima zake na kuzitandaza mbingu kwa fahamu zake. \v 13 Sauti yake ndiyo itengenezayo muungurumo wa maji mbinguni, naye huzileta mbingu katika mwisho wa dunia. Hutengeneza radi kwa ajili ya mvua na kutuma upepo kutoka katika hazina yake.
=======
\v 11 Utawaambia hivi, "Miungu ambayo haikuumba mbingu na nchi itaangamia katika dunia hii na chini ya mbingu." \v 12 Aliyeiumba dunia kwa nguvu zake aliumba nchi kavu kwa hekima zake na kuzitandaza mbingu kwa fahamu zake. \v 13 Sauti yake ndiyo itengenezayo mungurumo wa maji mbinguni, naye huzileta mbingu katika mwisho wa dunia. Hutengeneza radi kwa ajili ya mvua na kutuma upepo kutoka katika hazina yake.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113