sw_jer_text_reg/09/13.txt

6 lines
594 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 13 BWANA asema, "Ni kwa sababu wameziacha sheria zake ambazo niliwatengenezea, kwa sababu hawaisikilizi sauti yangu au kuishi kwa kuifuta. \v 14 Ni kwa sababu wameishi kwa ushupavu wa mioyo yao na wamewafuata Mabaali kama baba zao walivyowafundisha kufanya.
=======
\v 13 Bwana asema, "Ni kwa sababu wameziacha sheria zangu ambazo niliwatengenezea, kwa sababu hawaisikilizi sauti yangu au kuishi kwa kuifuata. \v 14 Ni kwa sababu wameishi kwa ushupavu wa mioyo yao na wamewafuata Mabaali kama baba zao walivyowafundisha kufanya.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113