sw_jer_text_reg/08/20.txt

6 lines
732 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 20 Mavuno yamepita, wakati wa hari umekwisha. Lakini sisi hatujaokoka. \v 21 Nimeumia kwa sababu ya maumivu ya binti wa watu wangu. Ninaomboleza kwa sababu ya mambo ya kushangaza ambayo yametokea kwake; Nimeyeyuka. \v 22 Je, kule Gileadi hakuan dawa? Je, huko hayuko mponyaji? Kwa nini uponyaji wa binti wa watu wangu hautokei?
=======
\v 20 Mavuno yamepita, wakati wa hari umekwisha. Lakini sisi hatujaokoka. \v 21 Nimeumia kwa sababu ya maumivu ya binti wa watu wangu. Ninaomboleza kwa sababu ya mambo ya kushangaza ambayo yametokea kwake; Nimeyeyuka. \v 22 Je, kule Gileadi hakuna dawa? Je, huko hayuko mponyaji? Kwa nini uponyaji wa binti wa watu wangu hautokei?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113