sw_jer_text_reg/07/01.txt

6 lines
522 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Hili ndilo neno la BWANA lililomjia Yermia, \v 2 Simama katika lango la nyumba ya BWANA na utangaze ujumbe huu! Sikiilizeni neno la BWANA, ninyi nyote watu wa Yuda, ninyi mnaoingia katika malango haya kumwabudu BWANA.
=======
\c 7 \v 1 Hili ndilo neno la Bwana lililomjia Yeremia, \v 2 Simama katika lango la nyumba ya Bwana na utangaze ujumbe huu! Sikiilizeni neno la Bwana, ninyi nyote watu wa Yuda, ninyi mnaoingia katika malango haya kumwabudu Bwana.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113