sw_jer_text_reg/06/27.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 27 "Nimekufanya wewe, Yeremia, kuwajaribu watu wangu kama mtu anayepima fedha, kwa hiyo utachunguza na kupima njia zao. \v 28 Wao ni watu wasumbufu miongoni mwa watu, wanaoenda huko na kule wakisingizia wengine. Wote ni shaba na chuma, wakitenda kwa dhuluma. \v 29 Mifuo inafukuta kwa moto unaoziunguza; risasi inaunguzwa na moto. Risasi tu ndiyo inayotoka kati yake, lakini haifai kitu kwa sababu uovu haujaondolewa. \v 30 Wataitwa taka za fedha, kwa sababu BWANA amewakataa.
=======
\v 27 "Nimekufanya wewe, Yeremia, kuwajaribu watu wangu kama mtu anayepima chuma, kwa hiyo utachunguza na kupima njia zao. \v 28 Wao ni watu wasumbufu miongoni mwa watu, wanaoenda huko na kule wakisingizia wengine. Wote ni shaba na chuma, wakitenda kwa dhuluma. \v 29 Mifuo inafukuta kwa moto unaoziunguza; risasi inaunguzwa na moto. Risasi tu ndiyo inayotoka kati yake, lakini haifai kitu kwa sababu uovu haujaondolewa. \v 30 Wataitwa taka za fedha, kwa sababu BWANA amewakataa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113