sw_jer_text_reg/06/23.txt

6 lines
672 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 23 Watachukua pinde na mishale yao. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama muungurumo wa bahari, na wapanda farasi katika mfumo wa wanaume wa vita, enyi binti wa Sayuni,"' \v 24 Tumesikia habai zao. Mikono yetu inalegea kwa dhiki. Na maumivu yametukamata kama utungu wa mwanamke anayezaa.
=======
\v 23 Watachukua pinde na mishale yao. Ni wakatili na hawana huruma. Sauti yao ni kama mungurumo wa bahari, na wapanda farasi katika mfumo wa wanaume wa vita, enyi binti wa Sayuni,"' \v 24 Tumesikia habari zao. Mikono yetu inalegea kwa dhiki. Na maumivu yametukamata kama utungu wa mwanamke anayezaa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113