sw_jer_text_reg/06/11.txt

6 lines
753 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za BWANA. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine, kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema BWANA wa majeshi.
=======
\v 11 Lakini nimejazwa na hasira za Bwana. Nimechoka kuizuia. Aliniambia, "Imwage mbele ya watoto mitaani na katika makundi ya vijana. Kwa kuwa kila mume atachukuliwa pamoja na mke wake; na kila mzee mwenye miaka mingi. \v 12 Nyumba zao watapewa watu wengine. Kwa kuwa nitawavamia wakazi wa nchi kwa mkono wangu - asema Bwana Mungu wa majeshi.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113