sw_jer_text_reg/05/23.txt

6 lines
774 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 23 Lakini hawa watu wana mioyo ya usumbufu. Hugeuka kuwa wapinzani na kuondoka. \v 24 Kwa kuwa hawasemi mioyoni mwao, "basi na tumche BWANA, Mungu wetu, yeye aletaye mvua za awali na mvua za vuli - kwa wakati wake, ambaye hutuzna majuma ya mavuno kwa ajili yetu." \v 25 uovu wako umezuia haya yasitokee. Dhambi zako zimeyazuia mambo mema yasitokee.
=======
\v 23 Lakini hawa watu wana mioyo ya usumbufu. Hugeuka kuwa wapinzani na kuondoka. \v 24 Kwa kuwa hawasemi mioyoni mwao, "basi na tumche Bwana, Mungu wetu, yeye aletaye mvua za awali na mvua za vuli - kwa wakati wake, ambaye hutunza majuma ya mavuno kwa ajili yetu." \v 25 uovu wako umezuia haya yasitokee. Dhambi zako zimeyazuia mambo mema yasitokee.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113