sw_jer_text_reg/05/18.txt

6 lines
777 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 18 Lakini hata katika siku hizo - asema BWANA - sikusudii kuwaharibu kabisa. \v 19 Itatokea kwenu, ninyi Yuda na Israeli, mkisema, 'Kwa nini BWANA, Mungu wetu ametufanyia haya yote?' kwamba wewe Yeremia, utawaambia, 'Kama vile mlivyomwacha BWANA na kuabudu miungu mingine katika nchi yenu, vivyo hivyo mtawatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.'
=======
\v 18 Lakini hata katika siku hizo - asema Bwana - Sikusudii kuwaharibu kabisa. \v 19 Itatokea kwenu, ninyi Yuda na Israeli, mkisema, 'Kwa nini Bwana Mungu wetu ametufanyia haya yote?' kwamba wewe Yeremia, utawaambia, 'Kama vile mlivyomwacha Bwana na kuabudu miungu mingine katika nchi yenu, vivyo hivyo mtawatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113