sw_jer_text_reg/05/07.txt

6 lines
943 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 7 Kwa nini niwasamehe hawa watu? Wana wenu wameniacha na wamefanya viapo na wale ambao si miungu. Niliwalisha vya kutosha, lakini wamefanya uasherati na kuchukua alama za nyumba ya uzinzi. \v 8 Walikuwa farasi wanaotafuta kupandwa. Walitembea huku na huku wakitafutwa kupandwa. Kila mwanamume alimkaribia mke wa jirani yake. \v 9 Kwa hiyo kwa nini nisiwaadhibu - asema BWANA - na kwa nini nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
=======
\v 7 Kwa nini niwasamehe hawa watu? Wana wenu wameniacha na wamefanya viapo na wale ambao si miungu. Niliwalisha vya kutosha, lakini wamefanya uasherati na kuchukua alama za nyumba ya uzinzi. \v 8 Walikuwa farasi wanaotafuta kupandwa. Walitembea huku na huku wakitafuta kupandwa. Kila mwanamume alimkaribia mke wa jirani yake. \v 9 Kwa hiyo kwa nini nisiwaadhibu - asema BWANA - na kwa nini nisijilipizie kisasi juu ya taifa kama hili?
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113