sw_jer_text_reg/05/01.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Kimbieni mkapite katika mitaa ya Yerusalemu, Tafuteni katika viwanja vyake. Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja anayetenda kwa haki na kufanya kwa uaminifu, basi nitaisamehe Yerusalemu. \v 2 Hata kama wanasema, 'Kama BWANA aishivyo,' wanaapa uongo." \v 3 BWANA, macho yako hayatazami uaminifu? Unawapiga watu, lakini hawasikii maumivu. Umewaangsmiza kabisa, lakini bado wanakataa kuwa waadilifu. Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba. kwa kuwa wanakataa kutubu.
=======
\c 5 \v 1 Kimbieni mkapite katika mitaa ya Yerusalemu, Tafuteni katika viwanja vyake. Tazama na ufikiri kuhusu hili: Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja anayetenda kwa haki na kufanya kwa uaminifu, basi nitaisamehe Yerusalemu. \v 2 Hata kama wanasema, 'Kama BWANA aishivyo,' wanaapa uongo." \v 3 BWANA, macho yako hayatazami uaminifu? Unawapiga watu, lakini hawasikii maumivu. Umewaangamiza kabisa, lakini bado wanakataa kuwa waadilifu. Wanafanya nyuso zao kuwa ngumu kama mwamba, kwa kuwa wanakataa kutubu.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113