sw_jer_text_reg/04/16.txt

6 lines
950 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 16 Yafanyeni mataifa kulifikiria hili: Tazama, na uwatangazie Yerusalemu kuwa wale watekaji wanakuja kutoka katika nchi ya mbali ili kupiga kelel za vita juu ya miji ya Yuda. \v 17 Watakuwa kama walinzi wa shamba liliolimwa dhidi yake pande zote, kwa kuwa amekuwa mpinzani wangu - asema BWANA - \v 18 tabia na matendo yako yamesababisha haya yatokee kwako. Hii itakuwa adhabu yako. Jinsi itakavyokuwa vibaya kwako! itakupiga moyo wako.
=======
\v 16 Yafanyeni mataifa kulifikiria hili: Tazama, na uwatangazie Yerusalemu kuwa wale watekaji wanakuja kutoka katika nchi ya mbali ili kupiga kelele za vita juu ya miji ya Yuda. \v 17 Watakuwa kama walinzi wa shamba lililolimwa dhidi yake pande zote, kwa kuwa amekuwa mpinzani wangu - asema BWANA - \v 18 tabia na matendo yako yamesababisha haya yatokee kwako. Hii itakuwa adhabu yako. Jinsi itakavyokuwa vibaya kwako! itakupiga moyo wako.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113