sw_jer_text_reg/04/11.txt

6 lines
643 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Wakati huo itasemwa juu ya mji huu na Yerusalemu kuwa, "Upepo uwakao kutoka katika nyanda za jangwani utachukua njia yake kuelekea kwa binti ya watu wangu. Hautapepetwa wala kuwatakasa. \v 12 Upepo ulio na nguvu sana utakaokuja kwa amri yangu, na sasa nitapitisha hukumu dhidi yao.
=======
\v 11 Wakati huo itasemwa juu ya mji huu na Yerusalemu kuwa, "Upepo uwakao kutoka katika nyanda za jangwani utachukua njia yake kuelekea kwa binti ya watu wangu. Hautapepetwa wala kuwatakasa. \v 12 Upepo ulio na nguvu sana utakuja kwa amri yangu, na sasa nitapitisha hukumu dhidi yao.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113