sw_jer_text_reg/04/04.txt

6 lines
1.1 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 4 Mtahiriwe kwa BWANA na kuondoa govi za mioyo yenu, ninyi wanaume wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu, vinginevyo hasira yangu itawaka kama moto na kuteketeteza, na hakutakuwa na mtu wa kuizima. Hii itatokea kwa sababu ya uovu wa matendo yenu. \v 5 Waambie Yuda na Yerusalemu isikie. Waambie, "pigeni baragumu katika nchi." Tangazeni, "Kusanyeni pamoja. Twendeni kwenye miji ya Maboma." \v 6 Inueni ishara za bendera na zielekezeni Sayuni, na kimbilieni usalama! Msibaki, kwa kuwa ninaleta majanga kutokea kaskazini na anguko kubwa.
=======
\v 4 Mtahiriwe kwa BWANA na kuondoa govi za mioyo yenu, ninyi wanaume wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu, vinginevyo hasira yangu itawaka kama moto na kuteketeza, na hakutakuwa na mtu wa kuizima, hii itatokea kwa sababu ya uovu wa matendo yenu. \v 5 Waambie Yuda na Yerusalemu isikie. Waambie, "pigeni baragumu katika nchi." Tangazeni, "Kusanyeni pamoja. Twendeni kwenye miji ya Maboma." \v 6 Inueni ishara za bendera na zielekezeni Sayuni, na kimbilieni usalama! Msibaki, kwa kuwa ninaleta majanga kutokea kaskazini na anguko kubwa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113