sw_jer_text_reg/03/11.txt

6 lines
680 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Kisha BWANA akanena na mimi, "Israeli muasi amekuwa mwenye haki zaidi kuliko Yuda muasi! \v 12 Nenda ukaseme maneno haya huko kaskazini. Uwaambie, 'Rudi wewe Israeli uliyeasi! - asema BWANA - sitakuwa na hasira dhidi yako. Kwa kuwa mimi ni mwaminifu - asema BWANA - sitakuwa na hasira milele.
=======
\v 11 Kisha BWANA akanena na mimi, "Israeli muasi amekuwa mwenye haki zaidi kuliko Yuda muasi! \v 12 Nenda ukaseme maneno haya huko kaskazini. Uwaambie, 'Rudi wewe Israeli uliyeasi! - asema BWANA - sitakuwa na hasira dhidi yako kila wakati. Kwa kuwa mimi ni mwaminifu - asema BWANA - sitakuwa na hasira milele.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113