sw_jer_text_reg/02/23.txt

6 lines
1.2 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 23 Wawezaje kusema, 'Mimi sijanajisika! Mimi sjaenda kwa Mabaal?' Tazama tabia zako zilivyokuwa bondeni! Tambua kile ulichofanya, wewe ngamia mwepesi! akimbiaye katika njia yake! \v 24 Wewe ni punda wa mwitu, aliyeizoelea nyika, avutaye pumzi za upepo usiofaa katika tamaa ya kuishi! Ni nani awezaye kumgeuza anapotafuta dume la kumpanda? Na punda dume amtafutaye hajichoshi mwenyewe. Huenda kwake wakati wa mwezi wa kupandwa. \v 25 Lazima uizuie miguu yako isikose kiatu na koo lako kuwa na kiu! Lakini umesema, 'Hakuna matumaini! Hapana! Nawapenda wageni nami huwatafuta!'
=======
\v 23 Wawezaje kusema, 'Mimi sijanajisika! Mimi sijaenda kwa Mabaali?' Tazama tabia zako zilivyokuwa bondeni! Tambua kile ulichofanya kule bondeni, wewe ngamia mwepesi! akimbiaye katika njia yake! \v 24 Wewe ni punda wa mwitu, aliyeizoelea nyika, avutaye pumzi za upepo usiofaa katika tamaa ya kuishi! Ni nani awezaye kumgeuza anapotafuta dume la kumpanda? Na punda ndume amtafutaye hajichoshi mwenyewe. Huenda kwake wakati wa mwezi wa kupandwa. \v 25 Lazima uizuie miguu yako isikose kiatu na koo lako kuwa na kiu! Lakini umesema, 'Hakuna matumaini! Hapana! Nawapenda wageni nami huwatafuta!'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113