1 line
310 B
Plaintext
1 line
310 B
Plaintext
\v 15 Je, hii ndiyo inakufanya uwe mfalme mzuri, kwamba unataka kuwa na mbao za mwerezi? Je baba yako hakula na kunywa, lakini alifanya hukumu na haki? Kisha mambo yakawa mazuri kwa ajili yake. \v 16 Alihukumu maneno ya masikini na mhitaji. Ilikuwa vizuri. Je, huku siko kunijua mimi? - hili ni tamko la Bwana. |