1 line
461 B
Plaintext
1 line
461 B
Plaintext
\v 8 Kwa nini mnasema, "Sisi tuna hekima! na sheria ya BWANA tunayoi?" Hakika, Tazama! Kalamu yenye uongo ya mwandishi imefanya uongo. \v 9 Wenye hekima wataaibishwa. Wameyeyuka na na kunaswa. Tazama! wanakataa neno la BWANA, kwa hiyo hekima yao ni kwa ajili ya matumizi gani? \v 10 Kwa wake zao nitawapa wengine, na mashamba yao kwa wale watakaowamiliki, kwa kuwa kuanzia kijana hadi mkuu, kwa pamoja ni wachoyo! Kuanzia nabii hadi kuhani, wote wanasema uongo. |