sw_jer_text_reg/51/57.txt

6 lines
1.0 KiB
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, watawala wake, na wakuu wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka--hili ni tamko la mfalme: Yahwe wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utabomolewa kabisa, na malango yake marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kikifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."
=======
\v 57 Maana nitawafanya wana wafalme wake, wenye hekima wake, maofisa wake, na maaskari wake kulewa, nao watalala usingizi kwa usingizi usioisha na bila kuamka - hili ni tamko la mfalme: Yahwe Mungu wa majeshi ndilo jina lake. \v 58 Yahwe Mungu wa majeshi asema hivi: Ukuta mnene wa Babeli utaangushwa kabisa, na malango marefu yataunguzwa. Kisha watu wanaokuja kumsaidia watafanya kazi isiyofaa; kila mataifa wanachojaribu kukifanya kwa ajili yake kitateketezwa kwa moto."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113