sw_jer_text_reg/51/43.txt

6 lines
597 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 43 Miji yake imekuwa ukiwa, sehemu kame na nyika, nchi isiyo na watu, na hakuna mtu apitaye hapo. \v 44 Hivyo nitamwadhibu Beli huko Babeli; nitakitoa kinywani mwake alichokimeza, na mataifa hawatammiminikia tena pamoja na sadaka zao. Kuta za Babeli zitaanguka.
=======
\v 43 Miji yake imekuwa ukiwa, sehemu kame na nyika, nchi isiyo na watu, na hakuna mtu apitaye hapo. \v 44 Hivyo nitamwadhibu Beli huko Babeli; nitakitoa kinywani mwake alichokimeza, na mataifa hawatamminikia tena pamoja na wazao wao. Kuta za Babeli zitaanguka.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113