sw_jer_text_reg/49/37.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 37 Hivyo nitawavunjavunja Elamu mbele ya adui zao na mbele ya watafutao uhai wao. Maana nitaleta maangamizo dhidi yao, hasira ya gadhabu yangu--hili ni tamko la Yahwe--nami nitapeleka upanga nyuma yao hata nitakapowafuta wote. \v 38 Kisha nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu na kumwangamiza mfalme na viongozi wake kutoka huko - asema Yahwe - \v 39 na itakuwa siku zijazo kwamba nitarejesha mema ya Elamu--asema Yahwe."