sw_jer_text_reg/48/42.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 42 Hivyo Moabu utaharibiwa na kutokuwa watu, kwa kuwa walijivuna kinyume changu, Yahwe. \v 43 Hofu na shimo, na mtego vinakujia, enyi watu mkaao Moabu--hili ni tamko la Yahwe. \v 44 Kila akimbiaye kwa sababu ya hofu ataanguka shimoni, na kila atokaye shimoni atanaswa na mtego, maana nitayaleta haya juu yao katika mwaka wa kisasi changu dhidi yao - asema Yahwe.